gari bovu halivuti gari bovu!

gari bovu halivuti gari bovu!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Bishanga ndo nshajizeekea jamani,mai waif mama The secretary bishanga choka mbaya, hawara yangu Kongosho ndo kabisa anatembea na dripu,kimada wangu Mamndenyi ndo kakongoroka bi kidude ana nafuu, jamani natafuta kachicken spring ka kuwa kananshtua siku moja moja.Mabinti warembo amu Arabela marejesho embu sogeeni ubaazi huu niwape tiketi za business class tukutane Nassau,Bahamas.
Angalizo:Gari bovu huvutwa na gari zima.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bishanga sijajua kama utapona kitu chenye ncha kali time hii.

Bishanga ndo nshajizeekea jamani,mai waif mama The secretary bishanga choka mbaya, hawara yangu Kongosho ndo kabisa anatembea na dripu,kimada wangu Mamndenyi ndo kakongoroka bi kidude ana nafuu, jamani natafuta kachicken spring ka kuwa kananshtua siku moja moja.Mabinti warembo amu Arabela marejesho embu sogeeni ubaazi huu niwape tiketi za business class tukutane Nassau,Bahamas.
Angalizo:Gari bovu huvutwa na gari zima.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone na vijana wenzio,hala hala mti na jicho,nimeomba warembo wawe wanashtua injini tu,could be kunikokea moto,kunipungia upepo,masaji etc etc etc etc
 
ahahahahah Bishanga nenda kwa w.h.y wanajua kupepea sana mpaka engine inawaka .una sh ngapi nije kukupepea babu
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kuna mmoja ana kipara yeye bado ni biki.ra ila mmh nikimtaja hapa patachimbika, kama vipi umtafutage mwenyewe ila uvae na zile za kupigana kama hizi hapa.

images

Arushaone na vijana wenzio,hala hala mti na jicho,nimeomba warembo wawe wanashtua injini tu,could be kunikokea moto,kunipungia upepo,masaji etc etc etc etc
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kuna mmoja ana kipara yeye bado ni biki.ra ila mmh nikimtaja hapa patachimbika, kama vipi umtafutage mwenyewe ila uvae na zile za kupigana kama hizi hapa.

images

Kwani niniliyu yake ina miiba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom