Mlinzi wa Mke wa Rais

Mlinzi wa Mke wa Rais

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Nimeona kupitia TBC - 1 kwenye maazimisho ya siku ya Mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa Rais wa SMZ Mwanamwema Shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia kitu. Awali alikuwa akimfuatilia upande wa kushoto akijaribu kumnyang'anya kipochi alichokuwa amekikumbatia kwapani lakini hakumuachia. Baadae akasimama nyuma yake na kumwekea mkono mgongoni.

Sifahamu nia ilikuwa kumzuia asianguke au ni nini?
 
Ungetuwekea picha ingekua vyema sana.
 
kuona uone wewe maswali utuulize sie...si mpigie umuulize mwenyewe au namba yake huna?? basi m-PM.
 
mimi pia niliona jambo hilo nikashindwa kuelewa kwa nini mlinzi alionekana kuwa karibu sana na mlindwa kiasi kwamba ilionekana kama anamsukuma.
Ilhali commando ambaye alionekana kutembea kama kinyonga aliachwa muda mrefu akisogeza mguu na kupapasa chini(kwa miguu) kabla ya kusogea.
Je Mstaafu karume yeye alilala uwanjani?
 
Baada ya kuhamia dijitali watu wengi TV tunaangalia kwa jirani, huku kwetu huwa tunaangalia hapo kwa Mjumbe ila jana alikua amepika pilau la Mapinduzi hivyo hakutaka shombo la wageni...ningeona hakika ningekuambia maana.
 
samahani michango ya white party mmepeleka kwa mtambuzi?
 
nimeona kupitia tbc - 1 kwenye maazimisho ya siku ya mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa rais wa smz mwanamwema shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia kitu. Awali alikuwa akimfuatilia upande wa kushoto akijaribu kumnyang'anya kipochi alichokuwa amekikumbatia kwapani lakini hakumuachia. Baadae akasimama nyuma yake na kumwekea mkono mgongoni.

Sifahamu nia ilikuwa kumzuia asianguke au ni nini?
labda ndio mambo ya pwani hayo.
 
Back
Top Bottom