Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,238
Hili jamaa na ukubwa wake, lilichukua kibano kutoka kwa Kabinti kadogo kenye Mkanda Mweusi, dahh hadi anatia huruma.
Alibaki tu akifoka " I will kick your a$$." Hapo alishawekwa chini kama kikaratasi vile.
Hawa vimacho aisee si wa kuchezea maana ni HATARI SANA.
Video, Mdada wa Kikorea akimuabisha Mzinga wa baba....... Mbuzi Mzee , ungelikuwa wewe ungelifanyaje?

Last edited by a moderator: