Habari wana Jf
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbali mbali ya wabongo walivyo na akili lakini hawatumii akili ya kwa maendeleo bali kwa kuharibu au kurudisha maendeleo nyuma.
Nakumbuka kulikuwa na sumu za adesemi na ttcl za barabaran kwaajili ya kupiga kama huko mamtoni,wabongo wkagundua kwamba ukiingiza ile credit card ya adesemi ukadial na simu ikianza kuita,caller akipokea tu ndani ya sekunde 1 ya kwanza bac unachomoa kadi na kuendelea kuongea bure utakavyo.
Huko kenya simu za mchina zilishazuiliwa siku za nyuma kidogo lakini unaambiwa kuna vibanda vinafanya kazi ya re-networking hizo simu na bado zinapiga mzigo
Hayo ni baadhi tu wana jf najua kuna matukio mengine mnayafahamu.....fungukaaa