In most homes, children are more scared of their fathers than mothers. They respect alot the father's words more than the mothers, When a father barks it is a different story from when a mother...
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto...
Habri wana CC, baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kumbe lile Tangazo ni kweli alikuwa mzee wetu hapa almaarufu Bishanga, siku zote twaiona avatar yake hana shati sasa ameamua kwenda kununua...
Two little boys, ages 8 and 10, are excessively mischievous.
They are always getting into trouble and their parents know if any mischief occurs in their town, the two boys are probably involved...
Kwa muda mrefu nilikuwa nikifanya utafiti wa watu hawa na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuona namna wanavyoendesha shughuli zao na utajiri wao,karibu.
Name; Bishanga...
Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe"...
Tangazo la Party kama lilivyobuniwa na watu8
Paloma mwenyewe kama mnavyomuona
amu akiwa kwenye pozi
Madame B akim hug Paloma................
Zion Daughter alikuwa ndiye fundi mitambo...
Wana ChitChat,
Katika thread yake ya tahadhari Invisible amesema kuwa kuna watu hapa Chitchat huwa wanajigamba kuwa wao ni moderators kwa kupiga mikwara ya kufa mtu kupitia PM na kuwapigia simu...
Mlevi mmoja aliingia kwenye daladala na kukaa siti ya mbele na kuweka begi kwenye siti kulia kwake, kisha akalala, punde mlevi mwingine akaingia na kutoa lile begi kisha akakaa naye...
There are currently 7272 users online. 1155 members and 6117 guests
Most users ever online was 10,588, 13th July 2011 at 21:34.
JF Balaaa umbe tunaweza kufanya mengi..Kwa Hivi tu......
Dereva mmoja baada ya kuua watu 25 kwa ajali ya gari,alikamatwa na Traffic na mahojiano yakawa kama ifuatavyo: Traffic: Wewe ni dereva gan?umepitia kwel driving school, Dereva:Ndio...
Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.Alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana...
Leo hii pale viunga vya Mwanayamala 'A' adjacent na ilipo shule ya msingi Mwanayamala Kisiwani katika kijiwe cha Mjeda maarufu kwa jina la LEO TUPO HAPA PUB wana CHIT CHAT tunakutana pale kuungana...
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.