ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Mlevi mmoja aliingia kwenye daladala na kukaa siti ya mbele na kuweka begi kwenye siti kulia kwake, kisha akalala, punde mlevi mwingine akaingia na kutoa lile begi kisha akakaa naye akalala.,Mlevi wa kwanza akawahi kuamka bila ya kuangalia,akaanza kufungua zipu ya suruali ya mlevi mwenzake akijua anafungua begi lake na kuanza kupapasa akauliza,."NANI KAWEKA NDIZI MOJA, NYANYA 2 NA STEELWIRE KWENYE BEGI LANGU?..kilichoendelea hapo sijui kwa kweli