EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Wana ChitChat,
Katika thread yake ya tahadhari Invisible amesema kuwa kuna watu hapa Chitchat huwa wanajigamba kuwa wao ni moderators kwa kupiga mikwara ya kufa mtu kupitia PM na kuwapigia simu huku wakiwatishia kwa namna yoyote ile wanayotaka.
Invisible amedai kuwa JF ina Mods wa ukweli ambao wamefunzwa uvumilivu na kuheshimu privacy za watu na hivyo yeyote atayekuja kwako akijigamba kuwa ni Mod wa ukweli JF wakati ni Mod feki tuwafahamishe mara moja.
Bila kuathiri angalizo la Invisible, kama ukitumiwa PM au kupgiwa simu ya mkwara na mtu anayejigamba kuwa ni Mod, pamoja na kuripoti kwa Mods wa ukweli kwa hatua zaidi, unaweza pia kuchukua hatua zifuatazo kama kujihami.
Kuna Mods feki huwa wanakuja kwa mkwara mzito kama huyo dogo hapo chini. Hapo huna hata haja ya kupiga yowe kwa Mods wa ukweli kuomba msaada, maana nao sometimes wanakuwa na mambo nyeti ya kufanya pia. Ukimchimbia mkwara Mod feki kama anavyofanya huyu kuku, lazima atasepa tena kwa spidi kali sana. Mwulizeni Kongosho atawapa full stori.
Kuna Mods uchwara wengine huwa wanakuja na gia ya kukupa ban ya moto kama wakiona unawaletea za kuleta. Eti wanadai ban ya moto ni aina mpya ya ban hapa JF. Wakija kwa gia hii itakubidi utumie advansdi techniki kwa kuwapa kama farasi anavyofanya hapo chini. Hakyanani tena nakuhakikishia huyo Mod feki hatarudi tena na hata akirudi atakuwa anakuheshimu kama nani vile! Ukitaka kuijulia hii tekiniki vizuri mcheki Madame B maana huwa anarukaruka kwenye kiibodi muda wote. Pia King'asti ni mtaalamu wa hii kitu japokuwa samtaimu unamkuta na AK47 in kesi akirushiwa kitu chenye ncha kali.
Kuna Mods uchwara wengine wanakuja kimakundi na kujaribu kukutishia. Tafadhalini msiwakubali kabisa na kuishia kuwaachia mzigo kama huyu mtoto kwenye video. Vinginevyo, utaiona ChitChat chungu ndugu yangu. Kula nao sahani moja hata kama ni kuwarushia vitu vyenye ncha kali.
Angalizo: Selfu-difensi inaruhusiwa lakini eksesaisi it risonabli usije ukala ban toka kwa Mods wa ukweli.
Kopi kwa Invisible, Paw, Ab-Titchaz, Moderator, Roulette, Buchanan, Silencer, PainKiller, Fang, Cookie, Pruner, INNOVATOR

Last edited by a moderator: