zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa mjino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa Jumapili jioni tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa "RANGI MBILI"
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Kwenda kuangalia sinema za chakula bora sokoni
10. Ku-rewind kanda (audio casette) kwa peni
11. Ndala kuchemshwa ili zisiishe
12. Kucheza umeshikilia kaptula sababu mpira (elastic) imekatika
13. Kuchonga penseli kwa meno
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni, kisa nywele ndefu
16. .............
Je wenzangu mnakumbuka nini?