Sijamaliza, kwani duka lote shilingi ngapi?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Habri wana CC, baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kumbe lile Tangazo ni kweli alikuwa mzee wetu hapa almaarufu Bishanga, siku zote twaiona avatar yake hana shati sasa ameamua kwenda kununua mashati ya chui chui na mikanda ya kamachumu. Hongera sana Uncle Bishanga, by the way umeshinda milioni moja ndio unataka kununua na duka lote? unajua hata rent tu hapo bado? kuhusu yule muuzaji wa nguo anasikika kama vile Nicas Mtei bado naendelea na utafiti. sasa mzee Bishanga uweke avatar yako na shati lako la chuichui jipya hapa.
images

kuna wajomba zako kama kina Zion Daughter na wengineo sio vyema wakawa kila siku wanona chest ya uncle.

PIa kuna lile Tangazo la mkongo anayemwaga ofa bar, jamani kwani hii inakuuliza kwamba huyu ni Chimbuvu? sasa mkuu hivi uliangalia salio lakini baada ya kuagiza kila mtu anywe kile anajisikia, na hebu muulize kila mutu atakula nini

LOL....

copy kwa kamati ya utafiti. noahism, Filipo na snowhite
 
Bishanga na zile suruali za gucci ulizouliziza ndio hizi?
images
 
Last edited by a moderator:
Likambo Na yo te, navandaka Na kinshasa,
Bishanga Azali Na mbongo mingi .
 
Last edited by a moderator:
Habri wana CC, baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kumbe lile Tangazo ni kweli alikuwa mzee wetu hapa almaarufu Bishanga, siku zote twaiona avatar yake hana shati sasa ameamua kwenda kununua mashati ya chui chui na mikanda ya kamachumu. Hongera sana Uncle Bishanga, by the way umeshinda milioni moja ndio unataka kununua na duka lote? unajua hata rent tu hapo bado? kuhusu yule muuzaji wa nguo anasikika kama vile Nicas Mtei bado naendelea na utafiti. sasa mzee Bishanga uweke avatar yako na shati lako la chuichui jipya hapa.
images

kuna wajomba zako kama kina Zion Daughter na wengineo sio vyema wakawa kila siku wanona chest ya uncle.

PIa kuna lile Tangazo la mkongo anayemwaga ofa bar, jamani kwani hii inakuuliza kwamba huyu ni Chimbuvu? sasa mkuu hivi uliangalia salio lakini baada ya kuagiza kila mtu anywe kile anajisikia, na hebu muulize kila mutu atakula nini

LOL....

copy kwa kamati ya utafiti. noahism, Filipo na snowhite

Received and filed for further actions!
 
Rekebisha kauli,mke wangu halafu anisalimie?
Naandaa baraza la mawaziri katiba ya CC inampa mamlaka waziri mkuu kuunda baraza,
hebu jisachisachi mfukoni ili nikukumbuke

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom