Solve dis if u r Great thinker

Solve dis if u r Great thinker

I am a 11 letter city.
Last 6 leter is fruit name..
7,8,3 is a bird name.
6,7,5,3 is a part of a face.
1,8,3 is use for studnt .
9,5,3 is a soap name

Hii inahitaji utulivu, kwa sisi tunakimbizana na wakati ngoja tupite.
 
Daa kama ni mtihani apo ningelamba beseni!
 
Got it........Pondicherry in India Boflo

Google inasaidia sana watu kupata majibu ya haraha haraka ... yaani katika post yako ya kwanza umebashiri US (hapo ilikuwa ni 8:33) ... then after only 2 min (yaani saa 08:35) umepost jibu kuwa ni India! ... so it was just a matter ya ku-search google!

Nna uhakika kama hizi search engines hazikuwepo hili swali la Boflo lingechukua hata mwezi na jibu lisingepatikana
 
Hebu jaribu ku google na wewe kama ni rahisi hivyo......muwe mna aoppreciate efforts za wengine pasi na kuponda
 
Hapo Mkuu acha kutuzuga! Umedesa kwenye google mwanangu! Mbona rahisi tu.
[h=1]11 letter city. last 6[/h]11 letter city. last 6 letter is fruit name. 783 is a bird name. 6753 is a organ of a face. 183 is a use for student.953 is a soap name.boys love this place.

Uki-google kama ilivyo hapo juu kila kitu kinakuja kama kilivyo kwenye swali! Au ukiona shida unaandika 11 letters city in the world halafu unaanza kuchambua mwenyewe. Nahitimisha kusema UMEDESA GOOGLE WEWE, BILA GOOGLE WATU TUNGEKESHA HAPA!!
 
Hapo Mkuu acha kutuzuga! Umedesa kwenye google mwanangu! Mbona rahisi tu.
11 letter city. last 6

11 letter city. last 6 letter is fruit name. 783 is a bird name. 6753 is a organ of a face. 183 is a use for student.953 is a soap name.boys love this place.

Uki-google kama ilivyo hapo juu kila kitu kinakuja kama kilivyo kwenye swali! Au ukiona shida unaandika 11 letters city in the world halafu unaanza kuchambua mwenyewe. Nahitimisha kusema UMEDESA GOOGLE WEWE, BILA GOOGLE WATU TUNGEKESHA HAPA!!

Nikuzuge ili nipate nini?Kwa hiyo kila mtu anaweza kuwaza hii 11 letter city. last 6 kiurahisi sio? Mbona hukujibu kama ni rahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom