Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!
Last edited by a moderator: