Mwenyekiti nimerudi wapendwa na wapenzi wangu, kwanza kabisa ningependa kujua ndoa ya passion lady na Ruttashobolwa imeshafungwa...!?? maana hadi napelekwa guantanamo niliacha kamati ziko busy...
To my shining jewel, emerald Erotica,
You always fill my heart with warm feelings
This Valentine day you are so full in me
I feel your touch, your tender presence
My heart is softly saying: dont...
Feeling tired this morning?
Don't worry, you're not alone, most
africans feel tired..
Here's WHY AFRICANS ARE ALWAYS
TIRED It's not laziness, here is the
reason ..For a couple of years
many...
Kunajamaa alienda hotel ya kizungu kupata msosi mhudumu alipofika jamaa akashindwa kumsemesha mara akamuona muhudumu mwingine yupo na mayai jamaa kwa ujasir mkubwa akamwambia yule muhudumu 'LOOK...
Kwako rafiki mpendwa.
Haijalishi umepitia na bado unapitia
mangapi. Mungu ameahidi kukupa
njia ya kutokea, kukupigania nawe
uwe mshindi.
Usiyaangalie unayoyapitia, bali
mwangalie yeye...
Kipofu alimpiga mtu hadi kumuua akapelekwa mahakamani "HAKIMU" kwa nini umefanya ukatili wa namna hii "KIPOFU" Mheshimiwa hakimu marehemu aliniambia mwenyewe "NIPIGE UONE" kwa vile nilikuwa na...
Dear Brothers n Sisters wa JF.
Recently nilipata msiba wa kuondokewa na shangazi na binamu yangu.
Naomba kutumia jukwaa hili kuwashukuru sana wana JF wote walionipa pole za msiba huo.
Asante...
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
Messi kaingia na demu gheto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga. Aliporudi toka bafuni alimkuta messi akiwa na washikaji wengine wawili.Yule demu akahoji wale ni akina nani na wako pale kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.