Loka G Laizer
Member
- Feb 12, 2013
- 49
- 4
Kunajamaa alienda hotel ya kizungu kupata msosi mhudumu alipofika jamaa akashindwa kumsemesha mara akamuona muhudumu mwingine yupo na mayai jamaa kwa ujasir mkubwa akamwambia yule muhudumu 'LOOK THERE I NEED THEIR MAZA'