Mwanafikra huru
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 141
- 18
Kipofu alimpiga mtu hadi kumuua akapelekwa mahakamani "HAKIMU" kwa nini umefanya ukatili wa namna hii "KIPOFU" Mheshimiwa hakimu marehemu aliniambia mwenyewe "NIPIGE UONE" kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuona nikampiga kwa nguvu zangu zote bahati mbaya akafariki. Ungekuwa wewe ndo hakimu ungefanyeje?
Via nawatakia mapunziko mema!
Via nawatakia mapunziko mema!