ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592

Hay wana jf
Happy Valentine1

Natumai muwazima wa afya tele na mnaendelea vyema na shughuli, kazi,
masomo, biashara na mengineyo ilimradi tu mpate vya kuweka mdomoni;
Siku ya leo nimeonelea niwakumbuke kwa kuwapa furaha ya upendo (agape)
watoto wote wa mtaani, yatima, na wajane na bila kuwasahau
ninyi marafiki zangu wa muhimu sana hapa jf

Awali ya yote napenda kuwaambia kuwa siku hii maalum huazimishwa
kwa maneno matamu yenye bashasha ya kutakiana heri na fanaka
katika shughuli zetu mbalimbali, vilevile ni siku ambayo
waweza kuonesha upendo wako kwa wale ambao huko nao na hata
wale ambao hauko nao, yaani ndugu, marafiki, majirani na jamaa.

Ila cha kushangaza katika dunia yetu hii ya leo, watu wameiweka siku hii
kuwa ni siku ya kufanya maasi, uovu, na dhambi zilizopitiliza, wengine wamefanya siku hii
kuwa ni siku ya kuharibu utu wao kwa kuendekeza kufanya dhambi ya ngono, na maasi mengineyo
Wengi wa wanadamu hawamhofu Mungu wao kwa yale wanayoyafanya,
hawaoni ipo siku ambayo watakuja hesabu yale maovu waliyoyafanya hapa duniani.

Ndugu rafiki mpendwa
napenda kukwambia kuwa chochote ufanyacho hapa duniani hujue kuwa utakuja
kukivuna hapo baadaye, kama ulipanda choroko ujue kuwa utavuna choroko,
kama ulipanda mema utavuna mema na kama ulipanda
mabaya nayo kwayo utavuna mabaya.
Rafiki jichunguze!
UMEPANDA NINI SASA? NA UNATARAJIA KUVUNA NINI SASA?
kama unafanya maovu na kuona uko sawa hauko sawa kabisa.
Ni heri ukamgeukia Mungu wako leo, na kuziungama dhambi zako
yeye ni mwingi wa rehema atakusamehe. Hebu soma Warumi 10:9-11

Nawapenda!
na nawatakia sikukuu njema yenye amani, utulivu, baraka,
na furaha tele kwenu marafiki wote wa jf
Pokeeni zawadi hizi za upendo toka kwangu.

pokea kwa moyo mkunjufu nazo ni: