Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,034
Messi kaingia na demu gheto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga. Aliporudi toka bafuni alimkuta messi akiwa na washikaji wengine wawili.Yule demu akahoji wale ni akina nani na wako pale kwa ajili ya nini?. Messi akamjibu..hawa ni Xavi na Iniesta,baby si unajua siwezi kitu bila msaada wa hawa masela!