usifungue uzi huu utajuta.......

usifungue uzi huu utajuta.......

Kwapa la Mende wewe.......angekuwa babako....ungemkimbia.......?
 
Hanith mkuu. Kwa kuwa yupo chama kileeee ndio unamkosoa mpaka mungu muumba
 
mbonaaaa wasira yupo gado* mwanaume asifiwi sura
 
kweli we joramjason ni mbulula sasa hapo cha kutufanya tujute ni nini, dah we ni mbulula classic.
 
Lakini hili jamvi ni la Jokes sioni tatizo kama mtoa Thread amekosea...
 
Rais mtarajiwa,kweli JK ameufanya urais iwe urahisi!kila mtu anaweza,auto pilot na kutokuwa na maamuzi yeyote!tukio kubwa kesho yake anapanda ndege safari...akirudi anahutubia wazee wanawapa 5,000/ upepo unapita!kila mtu anaweza kwa style yake!tumlaumu sana EL na RA kupigana kwa mipesa yao kuweka akili ndogo sana kuongoza akili kubwa zote!
 
Back
Top Bottom