Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Born today. 3....years now. Happy birthdate Petro Eusebius Mselewa!
Born today. 39 years now. Happy birthdate Petro Eusebius Mselewa!
Hongera sana kwa kusherehekea birthday yako.
heri ya kuzaliwa mwenyezi aendel kukujalia afya na miaka mingi
Za asubuhi Mpenzi tedo!
Nimekuota tena na leo.
mwenza mzima mkoba ulikabidhiwa na shehe
Za asubuhi Mke mwenza?
nimekuacha mume jana kumbe ulikuwa busy na ndoto
mie nipo bomba ........ushamaliza kuota
Shehe mwenyewe Magumashi!
Anataka eti anizindue ki-ramli kwanza.
Mume wetu mwenyewe waluwalu.
Mara yupo TA, mara KNY ilimradi vururuvururu!
Me nataka nimpe talaka hvoo.
Hv inakuwaje unalala na Sefu afu unamuota John?
Ina mana John ndo yuko Nafsini mwako?