Mwanajeshi na muhamiaji haramu kigoma

Mwanajeshi na muhamiaji haramu kigoma

shangwe shangwe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
108
Reaction score
24
Mwanajesh: we ni mtanzania au muhamiaji haramu? Muhamiaji: Mi ni muhamiaji haramu. Mwanajeshi: unatoka nchi gani? Muhamiaji: Canada! Mwanajeshi: kama unatoka Canada we sio haramu,labda ungekuwa unatoka Burundi,RWANDA au Congo. Muhamiaji: hapana,mi ni muhamiaji haramu naomba mnirudishe kwetu.....!
 
duh _kawaweza, wanapenda kuwarudisha kwenye matatizo ili wajute_ikiwa ni kwenye neema zaidi wanaambiwa ninyi sio haramu_nakumbuka ilitokea wakat fulan mchezaj wa club kubwa alirudishwa kwa issue za uhamiaji then akajitokeza mwingine akasema yeye anatoka ufaransa_acha bana, hakuna aliyekubali, eti wahusika wote wanamwambia mhalifu kuwa ni muongo yeye sio muhalifu wakati yeye muhalifu anajitambusha kama muhalifu.
 
Mwanajesh: we ni mtanzania au muhamiaji haramu? Muhamiaji: Mi ni muhamiaji haramu. Mwanajeshi: unatoka nchi gani? Muhamiaji: Canada! Mwanajeshi: kama unatoka Canada we sio haramu,labda ungekuwa unatoka Burundi,RWANDA au Congo. Muhamiaji: hapana,mi ni muhamiaji haramu naomba mnirudishe kwetu.....!
mmmmhh!alikosa nauli ya kurudi kwao nn?
 
mkuu hii sio joke imetokea live sehemu za manyovu kigoma watu wakashangaa sana.

Manyovu kijijini kwetu huko kitambo kidogo sijafika hapo. Ni moja kati ya vijiji vilivyoendelea japokua mkoa wa Kigoma upo nyuma kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom