Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Kwa jinsi usaliti ulivyo kwa kiwango cha juu Siku hizi kwenye ndoa au mapenzi sipati picha ingekuwaje kama kila ukisaliti ndoa au penzi lako unapata kiraka popote mwilini... tena naona kuna wana jamvi humu ndani wangekuwa hawana hata haja ya kuvaa Nguo kwa kuwa viraka vingekuwa vimefunika mwili