Mgeeni humu,hodi hodi
Mgeeni humu,hodi hodi
Karibu Karibu, wewe ni ME au ni KE? na je umeshaoa? humu ndani kuna ndoa za watu anaglia usije kuvunja na kuna mabinti na vijana waadilifu unaweza kubahatika
Darling I miss you...
Hehehe best naon unajihami na mapemaaa. Umeweka alama mgeni asipite