JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ngoma draw-wewe unaichakaza office ,housegirl wako anakuharibia home Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mungu akikujalia mambo matatu kwenye maisha ujue umeula: 1. JUHUDI, 2. AKILI 3. MAARIFA. Mnasemaje Wanachama wenzangu?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
We done some many crazy stuffs,but what are the crazy things you've done for the sake of getting Money
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Hapa jirani kuna mzee mmoja alimfundisha mwanawe kuendesha gari na baada ya kuhitimu akamuahidi kumpatia gari ya kutembelea kama mwisho wa mwaka atatimiza masharti mawili. 1. Kunyoa nywele...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
eti,ww ni muuza duka,kaja mteja anahitaji kilo moja ya sukari,ila ww una jiwe la kilo 10 na lingine la kilo 7. Utafanyaje apate hiyo kilo moja anayoitaka?
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Bakari hodari, kaenda safari, kamkuta kimamba ktk .............
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu! Msimu wa korosho ndiyo huu hapa tena unaingia... Kipindi cha heri, kipindi cha mavuno!! Sasa mabibo ni full available... Binafsi nayapenda sana mabibo, juice kwa sana! Karibuni...
5 Reactions
111 Replies
8K Views
Bibi kapigwa mtama na kibaka na kuporwa simu yake.Bibi akaanza kumfukuza.Baada ya kuona bibi hachoki kibaka akatupa simu chini na kuendelea kukimbia.Bibi akaokota simu yake na kuendelea...
7 Reactions
11 Replies
4K Views
baby ntumie bac salio elfu 1o »»,afu ucsahau kuja naile hela ya viatu niekwambia elfu 7o na hela ya salon 50 »»c unakumbuka ile sherehe ya mdogo wangu nayo inatakiwa laki 2 hiyo nayo ya mhimu uc...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yaani wakati wanakunawisha baada ya kunyoa , au kufanya masaji, mikono yao kama ina shoti vile, unabaki kusema tuu, aa eee, ndiooo, ee, sawa kabisa, unajibu hata bila kuulizwa mwee, sijui wachawi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
siwezi kujua: 1. saa hizi ni saa ngapi.. 2. leo ni tarehe ngapi.. 3. namba hata moja ya simu 4. njia iko wapi umeme unapokatika ghafla 5. majibu ya haraka haraka kwenye quiz na assignments...
11 Reactions
26 Replies
5K Views
WADAU IMEKAAJE WANAKUFATA WALE WA OPERATION YA KUONDOA WAMIAJI HARAMU ALAFU WANAKUULI WW RAIA WA NCHI GANI HV UKIWAMBIA MM MMAREKANI WATAKURUDISHA MAREKANI AU WATAKUPELEKE NCHI GAN?:grouphug:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mume awe na pesa, sura tutavumiliana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
baada ya kufumaniwa na mume/mke wa mtu... umepewa nafasi tano tu za kuchagua adhabu... la sivyo utatembezwa mtaani uchi!!!!!! haya sasa.....!!! 1... kunywa glass tatu a makohoi ya mgonjwa wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wengine wanene waneeeeeee e Wanapenda uanamitindo (common goal) Wengi wanafunzi (19-23) WAZAZI ulimwengu ndo mmewaachia uwafunze kukaa uchiiii
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa upya, ungependa uzaliwe kama nani na wapi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Janga kubwa la kushambuliwa westgate mall limewakumba wenzetu wakenya jana.Hadi sasa kuna mateka ghorofa ya tatu na ya nne na watu zaidi ya arobaini wameuawa. Wana cc naomba tuchukue muda...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Madadiito na Mashostito. Kama mlikua hamumjui figganigga Leo nimewaletea Picha yake ya ijumaa iliyopita. Nilikua naye alipo lala nikamuacha solemba. Kijana alikunywa kilimanjaro tatu hoi...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Nimetokamo kumsindika shemeji yenu Bishanga Airport dogo. Masaa tatu atakuwa angani.Kaniambia munipe kampani yenu kwa muda huu. The secretary mambo ya kumusumbua mume wangu toto yako iko...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Erickb2 wewe ni mwenyekiti mpindua ukiwa bado kwenye serikali yako ya mpito umeanza kujichukulia majukumu yasiyo kuhusu wala kukihusu kiti chako. .................. ...
1 Reactions
85 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…