JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ijuma iliyopita vivian watu8 Filipo Maskron DEMBA Kaizer mimi49 farkhina Mamndenyi rafikimkweli mwallu na shosti Chocs kwa pamoja tulipata Dinner ya pamoja Maeneo ya masaki Dids and was really an...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Inawezekana, naulizia for directions, au nauliza kama unamfahamu bibi yake mkubwa shetani..au kama kwenu mnauza mayai ya kuku wa kienyeji au labda nakuomba unipe lifti kwenye mgongo wako.. Sasa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bujibuji:Hello baby uko wp nmekumiss, Mamndenyi; hny nko SAMAKI SAMAKI hapa napata LUNCH then namsubiria DRIVER wng aje kunchukua anpeleke Shopping Quality Centre , we upo wp swt? Bujibuji:npo...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Girl : "Forgive me father for I have sinned." Priest : "What have you done my child?" Girl : "I called a man a son of a bitch." Priest : "Why did you call him a son of a bitch?" Girl ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KWA AMBAO KINAPANDA.. COMMENT IN ENGLISH PLS Caller: Hello, can I speak to Annie Wan ? Operator: Yes, you can speak to me. Caller: No, I want to speak to Annie Wan! Operator: Yes I...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
We si unapenda kuangalia X basi angalia hizi...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Koho! Koho!. Habari zenu wakuu! Kwa mujibu wa mabadiliko ya hali ya mapenzi na upungufu wa joto la kupendana duniani, mamlaka ya udhibiti wa mapenzi imetoa majina na maana yake kwa wakati huu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hello wanajamii! Mwenzetu Lady doctor anaumwa hivyo nawaomba kwa pamoja tushirikiane kumpa faraja na kumuombea apone haraka! Shem namuomba Mungu akushushie mkono wake wa uponyaji upone haraka...
19 Reactions
245 Replies
17K Views
Jamaa fulani walikuwa wakitembea mmoja wao akasikia kiu,wakaenda wakabisha hodi nyumba iliyokuwa jirani, mara akatokezea mtoto kijana wa kiume, wakamwambia wanasikia kiu wanaomba maji ya kuywa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Women need a reason to have sex. Men just need a place.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwizi baada ya kusomewa mashtaka ya kuiba simu akaambiwa ajitete: Hakimu:"Toa utetezi wako kwa nini uliiba simu?" Mshtakiwa:"Nilikuwa napita zangu nikasikia simu inaita 'NIBEBE NIBEBE NICHUKUE...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Funguo za gari , zinarushwa rushwa kidogo... Funguo za gari huwekwa mezani... Funguo za gari huning'inizwa kwenya suruali... Kamwe funguo za gari haziwekwi.. Kwenye mifuko... Kwenye pochi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukianana kusema Munguyumwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa, mgeukie wenzio na umwambie leo utapata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna jamaa walikua wamekaa jumba bovu wanapuliza bangi, mara wakaishiwa kiberiti wakamtuma mwenzao akaombe popote, jamaa akazunguka akatokea palepale akawaambia masela naombeni kiberiti na kwa...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Nakumbuka nyimbo za rap za kiswahili kama OPP, ICE Baby na nyingine nyingi za Saleh Jabir yuko wapi huyu siku hizi? Nakumbuka enzi za Shaba Ranks na staili yake ya panki la hatari.......... Dah...
1 Reactions
86 Replies
9K Views
When i said tomorrow is your birthday and what shall i gift you, you told me that you i don't know but you want something with diamonds so today i am giving you this pack of playing cards.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*Ukitaka watu wahakiki kama umefika DAR lazima upige picha daraja la manzese *ukitaka wahakiki kama umefika mwanza lazima upige picha na samaki mkubwa *ukitaka wahakiki kama umefika DODOMA lazima...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ukikohoa ukatema makohozi barabarani...ni uchochozi, Ukijamba kwenye daladala...ni uchochezi, Ukigongea fegi au sosi kwa jirani...ni uchochezi, Binti kuvaa kimtegomtego...ni uchochezi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…