Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ukikohoa ukatema makohozi barabarani...ni uchochozi,
Ukijamba kwenye daladala...ni uchochezi,
Ukigongea fegi au sosi kwa jirani...ni uchochezi,
Binti kuvaa kimtegomtego...ni uchochezi,
Kibaka akikuvizia ukamshtukia...ni uchochezi,
Kutokua na kadi ya chama chochote cha siasa...ni uchochezi,
Usipolipa kodi ya nyumba kwa miezi kadhaa...ni uchochezi,
Kutokwenda ibadani...ni uchochezi,
Kusoma post hii kwa internet ya ofisini...ni uchochezi,