Kamusi

Kamusi

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Koho! Koho!. Habari zenu wakuu! Kwa mujibu wa mabadiliko ya hali ya mapenzi na upungufu wa joto la kupendana duniani, mamlaka ya udhibiti wa mapenzi imetoa majina na maana yake kwa wakati huu: DEAR=WAKUZUGIA, SWEET=MSHAMBA,
MY LOVE=ZEZETA,
BABY=MJINGA,
DARLING=-----,
HUSBAND=BUZI. Je mpenzi wako anakuitaje? Tafakari, chukua hatua ya upole!
 
kwenye darling mbona gap yenyewe haina maana ya kamus....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom