Funguo za mkoko(gari)

Funguo za mkoko(gari)

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Funguo za gari , zinarushwa rushwa kidogo...

Funguo za gari huwekwa mezani...

Funguo za gari huning'inizwa kwenya suruali...

Kamwe funguo za gari haziwekwi..

Kwenye mifuko...

Kwenye pochi...

Wala hazifichwi...

Ila funguo za kabati au mwenye rum moja keko lazima afiche ..halafu lazima utazijua tu kwa kuziangalia, kua ni za rum moko au za kabati au kofuli...

Hongereni wenye mikoko...
 
Mambo ya funguo wee yaache tu!
Mambo ya funguo yana vioja zaidi ya hivyo!
Pale funguo ndooogoo!
Inapolifungua kufuli kuubwaaa!
Na funguo haifungui kwa kugusanisha na kufuli/kitasa!
Ina shuruti !
Mpaka uitie toboni/tunduni!
 
we acha tu nlihongwa ufunguo wa gari nikajiona mie ndo mie mjini hapa looo mjamaa siku alipopata chombo kipya akalichukua gari bila taarifa kwa kushtaki sina tokea siku hiyo mpaka leo natembelea ngoko funguo noma ilibidi nijifiche mjini loooo
 
Pole mwaya,
laiti ungejua alipokupa ungeiingiza sokoni,
ukanunua ya kwako na jina liwe lako,
akileta vya kuleta unampeleka kwa pilato.

funguo..wewe funguo..una kamtekenyo ka kipekee, unafungua yaliyomo ndani ya mioyo...na kufungia mengine milele
 
Pole mwaya,
laiti ungejua alipokupa ungeiingiza sokoni,
ukanunua ya kwako na jina liwe lako,
akileta vya kuleta unampeleka kwa pilato.
mam, hakuna bosi asiye na funguo ya mamlaka yake, hata bam pia anazo funguo za malighafi zote unazomiliki chini ya himaya yako mam
 
we acha tu nlihongwa ufunguo wa gari nikajiona mie ndo mie mjini hapa looo mjamaa siku alipopata chombo kipya akalichukua gari bila taarifa kwa kushtaki sina tokea siku hiyo mpaka leo natembelea ngoko funguo noma ilibidi nijifiche mjini loooo
pole ntakupa funguo ya gari yangu...uitunze usije upoteza,maana funguo ikipotea ujue mwezio sitarudi home
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom