Kuna fahari gani ukipanda gari ya posta Mwenge?

Kuna fahari gani ukipanda gari ya posta Mwenge?

dapokea

New Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au moroko lakini zinakuja gari za kariakoo nyeupee wala hapandi anasubiri za posta au mtu anaenda posta mpya na zipo zile nyekundu zipitazo manzese pia hapandi aanasubiri hizi za mwenge posta huwa najiuliza sana kuwa ivi kuna fahari gani mtu ukiwa pale Mwenge kupanda gari hizi?

Mi nadhani hakuna sababu yoyote labda kwa wale wanaoshuka kuanzia mbuyuni contena ubalozi salenda Palmbeach na redcross mie huwa nashuka palmbeach
 
labda zina rangi nzuri mkuu..
afu hata sijawahi kuziona.
hebu tueleze zikoje afu nijaribu kutoa sababu nyingine..
 
Warembo watoto wa mwenge,mbezi beach wana sura nzuri,miguu,nice booty,shape nini...wanafariji japo ni kwa macho tu..LOL!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hawana kazi za kufanya ndio maana wanapoyezaga mda pale mwenge kusubiri za posta lol!
 
Warembo watoto wa mwenge,mbezi beach wana sura nzuri,miguu,nice booty,shape nini...wanafariji japo ni kwa macho tu..LOL!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mwekundu nilijua tu.......ni wakaka tu ndio wanakaa mda mwingi pale au na wadada pia
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au moroko lakini zinakuja gari za kariakoo nyeupee wala hapandi anasubiri za posta au mtu anaenda posta mpya na zipo zile nyekundu zipitazo manzese pia hapandi aanasubiri hizi za mwenge posta huwa najiuliza sana kuwa ivi kuna fahari gani mtu ukiwa pale Mwenge kupanda gari hizi? Mi nadhani hakuna sababu yoyote labda kwa wale wanaoshuka kuanzia mbuyuni contena ubalozi salenda Palmbeach na redcross mie huwa nashuka palmbeach

Zile coaster za posta mwenfe ni executive sana seat safi pia abiria wake ni smart yaani wanatua ofusin au chuo kwahiyo ni wasafi ba nadhifu unyunyu kwa mbali kumbuka mle hamnaga marobota ya nyanya, bamia wala ndoo za samaki, pia konda wake anajua mswaki na bafu lilivyo,
 
Sioni tofauti daladala ni ile ile. useme wauza sura ni wengi wanaokuja posta kushangaa huku wakikimbia majukumu ya home.
 
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au moroko lakini zinakuja gari za kariakoo nyeupee wala hapandi anasubiri za posta au mtu anaenda posta mpya na zipo zile nyekundu zipitazo manzese pia hapandi aanasubiri hizi za mwenge posta huwa najiuliza sana kuwa ivi kuna fahari gani mtu ukiwa pale Mwenge kupanda gari hizi? Mi nadhani hakuna sababu yoyote labda kwa wale wanaoshuka kuanzia mbuyuni contena ubalozi salenda Palmbeach na redcross mie huwa nashuka palmbeach

lmao hahahhaah eti "mie huwa nashuka palmbeach"
 
Zinakuwa na AC zile, pia mbanano hakuna na nauli jero so wanaopanda wanaonekana "washua"
 
Warembo watoto wa mwenge,mbezi beach wana sura nzuri,miguu,nice booty,shape nini...wanafariji japo ni kwa macho tu..LOL!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mmmmmhhhhh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom