Mtoto Mkarimu

Mtoto Mkarimu

Omnibus

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
203
Reaction score
39
Jamaa fulani walikuwa wakitembea mmoja wao akasikia kiu,wakaenda wakabisha hodi nyumba iliyokuwa jirani, mara akatokezea mtoto kijana wa kiume, wakamwambia wanasikia kiu wanaomba maji ya kuywa, dogo akazama ndani na kurudi na jag limejaa maziwa fresh, jamaa wacha wayabamize, walipomaliza kunywa wote dogo akawauliza vipi niwaongezee? jamaa wakasema poa tu kama yapo tuongeze dogo akaleta jag la pili nalo wakalimaliza, dogo akauliza bado mnakiuu? jamaa wakauliza unataka kutuletea mengine? dogo akasema eeegh, mmoja wao akamwuliza dogo sasa ukiyamaliza mother wako sii atakuja kukuchapa! dogo akasema noo hapana , mother kasema tuyamwange kwani panya wametumbukia ndani. :disapointed::disapointed:
 
mimi nilidhan mama ameyakamua asubuh kwan yalikua yanamsumbua mtoto wake hajayanyonya
 
ha ha ha shit naona ningejisokomeza madole ya koo mpaka niyatapike yote!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom