Maongezi ya hawara na buzi lake yalikuwa hivi:-
BUZI: mpenzi wangu tangu nimekununulia nyumba na gari naona mapenzi yamepungua!
HAWARA: kwanini mpenzi?
BUZI: siku hizi huniambii asante kwa...
UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa...
japo nimezaliwa na rangi ya mitume lakini nimejikuta natumia muda mwingi kutumia masabuni na mafuta flani ili nizidi kuwa mweupe..natakiwa nifanye nini ili niridhike na rangi yangu?
habarini
Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Hospital waniPM ili tujue orodha yao
na tutakutanika palepale Moi Hospitali na kuanza kuingia ndani kumuona mwenzetu Inkoskaz , hivyo jiandae mapema...
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji...
Hatimae wezi nao wametangaza mgomo,wamegoma wakishinikiza siku zao ziongezwe,badala ya siku za mwizi "AROBAINI" wanataka ziwe "THEMANINI" kweli Tanzania bila migomo haiwezekani,weka mali zako nje...
Kuna pastor
mmoja hupenda
kuchangamsha
waumini wake
wakati wa
mahubiri kwa kuwaambia
"Mwambie jirani yako
Yesu
anakupenda"
Siku nyingine akawa
anahuburi kuhusu wanawake wasio
pata mimba
akaambia...
Ni true story wadau.
Hivi majuzi maeneo ya Misugwisugwi Picha ya Ndege , ndugu zetu Wazaramo walimkamata mwizi.
Panja huyo alikua ameiba godoro , baada ya kukamatwa alikiri kuiba.
Kilichofata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.