Siyo lazima nikikuita nakutongoza

Siyo lazima nikikuita nakutongoza

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Inawezekana, naulizia for directions, au nauliza kama unamfahamu bibi yake mkubwa shetani..au kama kwenu mnauza mayai ya kuku wa kienyeji au labda nakuomba unipe lifti kwenye mgongo wako..

Sasa nakuita umenuunaaaa....sura imejikunjaaaaaaaaaaaaaaaaaa....


alaaaa, sio lazima nikikuita nakutongoza, unajua nimekuitia nini
 
Thats even worse...usingemuita unampotezea muda. Kama ni directions uliza makonda...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom