kwa stail hii mmmmh!

kwa stail hii mmmmh!

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukianana kusema Munguyumwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa, mgeukie wenzio na umwambie leo utapata mimba,mara likasikika bonge lakofi siti za nyuma! Kumbe mtoto mmoja alimgeukia babayake na kumwambia leo utapata mimba.....duh kazi kweli kweli..
 
Alikuwa na mapepo huyo, sasa angekaa na mama mkwe ingekuwaje:rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom