Nakumbuka.........

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nakumbuka nyimbo za rap za kiswahili kama OPP, ICE Baby na nyingine nyingi za Saleh Jabir yuko wapi huyu siku hizi?

Nakumbuka enzi za Shaba Ranks na staili yake ya panki la hatari..........

Dah nakumbuka tu kumbe nami nimeona mambo eeh!

Nakumbuka sinema ya kwanza ya kiswahili kuwatch ilikuwa Kifo Mkononi huku wakati huo kila mtu akiwa anawatch maigizo ya kiswahili kukiwa na kina Bishanga, Richie, Monalisa na yale ya wakenya kina Tausi, Kalumanzila dah........Nakumbuka
 
Nakumbukaaaa....nakumbukaa... Mmhh hapa nisije nikataja Diamond Moyo wangu bure...
 
HBC....
Enzi za Prof J wa Mitulinga
Yoo Ma msapu...yo nipoze moyo mama...
 
She don't let nobody - Shaba Ranks.
Wimbo ambao unless mwanaume hajiamini kwa 100% hawezi kuuimba..
 
Slow and Sexy-Shabba, halafu kuna huyo Yellow Man AKA Mr Sexy!

Enzi hizo kuna Wenge Musica BCBG, na wale wazee wa "Tombola tombola, mabokolikolo" Sheri Mpasi, tombolaa...Mabokolikolo, eeh eeh eeh eeh eeh eeh, isankele eh...!"

Ha ha ha!Yani hata hatukujuwa most of the words, but mhn mhn!
 
Mkuu BCBG walikuwa wanatamba na kala yi boeing na hi ho ha.
wale kina kidekule walikuwa wanaitwa victoria eleyson
halafu kulikuwa na zipompapompa na awilo akiwemo bado
 
Mkuu BCBG walikuwa wanatamba na kala yi boeing na hi ho ha.
wale kina kidekule walikuwa wanaitwa victoria eleyson
halafu kulikuwa na zipompapompa na awilo akiwemo bado
There you go!Hao Victoria eleyson, nashukuru kwa kunikumbusha, ilikuwa burudani bana!

Hao wenge si ndo walikuwa "wenge musica"?Halafu wakagawanyika na kukawa na BCGB?
 
There you go!Hao Victoria eleyson, nashukuru kwa kunikumbusha, ilikuwa burudani bana!

Hao wenge si ndo walikuwa "wenge musica"?Halafu wakagawanyika na kukawa na BCGB?

Hapana wenge waligawanyika kukawa na BCBG wenge Paris kabla ya kuendelea kumomonyoka baadae

unakumbuka bongoman alivyozua tafrani kenya na hapa kwetu mzee mwinyi akaacha mggomo wa madaktari muhimbili akaenda taifa kumwangalia bongoman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom