Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia...
Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora.
Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile...
Kwa mimi Nilijuta. Nilimpenda so nikampa smartphone WiFi iko home 24/7. Show niliona .. ndo alipoanza kubadilika.. kulala saa nane usiku, kuamka mpaka umwamshe. Vyombo unarudi unavikuta. inshort...
Huu ni utajiri au umasikini?
Shule zinakaribia kufunguliwa, na nina watoto zaidi ya 13 na wote wanasoma zile shule wanazofundisha 'a for apple'.
Kila mmoja anatakiwa alipiwe deni la ada...
Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki.
Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni...
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au...
ni ndugu zangu upande wa mama yangu mzazi, ni watu kujisifu sana .na huwa hawakubali unyonge lakini ukweli unabaki palepale hawa ndugu zangu asilimia 80 wana maisha magumu sana...kuna wakati...
Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?
Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.
Nikitaka unga wa...
Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuchati bila matusi mana kuna wanaopenda matusi sasa hapa hata unapenda matusi ukija kwenye huu uzi badilika hapa ni kuchati mana napenda kuchati balaa na watu...
Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba
Sample bajeti
Idadi ya mikoa 5
Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100
Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/=
Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/=
Vidampa 50...
Waziri katambi cjui kitambi hilo tamko lako la nida hakikisha unawaambia watoa nida walegeze masharti yaan hata bora ya mganga wa kienyeji kuliko hayo ya nida.
Na nina uhakika 50% ya...