MISS CC:Madad wapigana kugomania kutajwa...

MISS CC:Madad wapigana kugomania kutajwa...

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Mwenyekeiti wa Miss angalia watu wako hawa....

wazichapa.jpg
 
Picha inafuragisha na kusikitisha kabanga, lakini hukukamilisha habari. Ni wanani hao?
 
Last edited by a moderator:

chezea mashindano wew
na bado tutatoana mingeu kwa sana tu!!
sio mimi nimewasemea hao!!
cc Arushaone!!
 
Last edited by a moderator:
kabanga hao wanagombania mning'inio na sio umiss maana hata kwa kuangalia wana lao jambo...!
Kesho natangaza wagombea rasmi na mchakato utaanza soon.

Cc Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Hapa sasa ni dharau,
Unataka kusema wanachofanya wengine ni
ziro ziro kila siku?

Naanza kuona madhaifu yako?
copy Baba V

We umekuwa mpinzani wangu tangu mwanzo....sihangaiki na wewe Mamndenyi na utabaki na SACCOS yako hadi ujiju
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom