Unampenda kiasi gani mkeo?

Unampenda kiasi gani mkeo?

sungura1980

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
1,909
Reaction score
1,225
Mchungaji alitangaza kila mtu atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake...basi watu wakaanza kutoa Mokoyo akatoa 50,000/ Baba V 30,000 Erickb52 10,000 kiwatengu 20,000 mwekundu 100,000 Kaizer 50,000 Arushaone 10,000 na wengine wengi Bishanga yeye alitoa shilingi hamsini(50) . Mchungaji akamuita akamuuliza"ina maana mkeo sio mzuri?" Bishanga akajibu ....Ukimuona UTANIRUDISHIA NA CHENJI.
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha sungura1980 wewe unatafuta kesi ambayo hupata wakili wa kukutetea, unajua mahari ya shemejio ilikuwa milioni 10 na ng'ombe 10, leo umemshusha thamani mpaka elfu 50
 
Kaka Mokoyo si ndo na mimi nashangaa kwa nini ulitoa kiasi kidogo kiasi hicho?!Au ndo unataka kuoa mwingine?Sikuelewi unajua bro,bora hata huu uzi hasiuone maana ninavyomjua jioni hamna chakula!
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mokoyo si ndo na mimi nashangaa kwa nini ulitoa kiasi kidogo kiasi hicho?!Au ndo unataka kuoa mwingine?Sikuelewi unajua bro,bora hata huu uzi hasiuone maana ninavyomjua jioni hamna chakula!
hahahahaha bora aninyime chakula jioni kuliko kuninyima chakula usiku
 
hahahah Bishanga sishangai mkewe atakuwa wa kule kule au mganda, si unajua dada zetu wa kule wamejaliwa sura chachu kama ndimu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom