zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

na ngozi ya mdudu ilivyo laini...................
na vip ukishika pilipili halafu ukaisafisha k???????
 
Mi nishawahi,lol!
I can imagine, ila nadhani ukijimiminia mafuta mepesi (glycerin, olive oil ama hata mafuta ya kupikia), vuta pumzi then vuta zipu chini.

ishu sio kuvuta zip ishu ni maumivu yake halafu ndo kwa bahati mbaya ishike kwenye mshono wa suna. mia
 
mie huwa namwita kifaa chochote kilichopo karibu kinisaidie kuikwamua baada ya hapo uspime!

yaani ile kuitoa unahesabu. moja, mbili, tatu shaaaa...!!. omba Mungu isikuchane. utamaliza mwezi husalimii msichana. hahahahaaa...!!. Mia
 
Back
Top Bottom