JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
nimekuwa nikisikia kuwa mlio na ndoa muda kama huu ndo mahala pake na kwamba kale ka tendo ka adamu na hawa huwa kananoga sana alfajili! kwa senior barchelor kama mimi tulie tuuuuuuuuuuuuu, naomba...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ya nini?? Nakuuliza kwanini uanze mwaka mpya na nyongo za 2013? Mwaga nyongo yoote!!! Nani alikukera zaidi? Usiingie nazo 2014... MIMI MWENYEWE NINAZO ZANGU NITAZITAPIKA SOON....NITAPIKE NISITAPIKE???
11 Reactions
651 Replies
35K Views
Wana Chit Chat! Msimu wa sikukuu ndiyo umefika sasa. Naamini kila mmoja kwa namna yake ataenjoy na kufurahia sikukuu hizi. Sasa kwa kupitia huu uzi, naombeni tupeane wishers zetu. Wenye maua...
21 Reactions
526 Replies
44K Views
Jamani kuna aina za upara. Wengine wanasema kuna upara wa hela na upara wa akili.wengine wanssema upara wa mikosi. Je hizo hizo para zinakaa wapi.wana jf nielezeni hizo para na maana zake kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana cc, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kipindi kigumu kwangu ni kile ambacho mdg wa mzee walipotea vibaya sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wabongo kwa ubish ndo wenyewe angalia umeshapuuzia kichwa umeingia unataka kutoka bila reply ila umeongeza idadi ya viewers
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salamu ni nusu ya kuonana. Habari zenu wana Chit chat
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Heri ya mwaka mpya from my husband and I!!!!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kulikuwa na ndege moja imebeba abiria wanned.ndege hiyo una parachute 4 ikapata ajali ,mtu wa 1 alikuwa ni ronaldo dilima, akachukua parachute la 1,akisema mi mchezaji maarufu bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kawaida nimekuja kuhesabiwa na kwa sasa niko pande za nyumbani VWAWA ndani ya green city. Wapi Mzee wa fund... wapi ichenjezya , wapi Mwanyasi na IGWE na kati ya pande hizi..!? wapi...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Wandugu salaam, Kichwa cha habari kinajieleza.Ukifika muda huo nitaomba kutambua uwepo wa members wote watakaobahatika kuuona mwaka 2014.Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Ndege nyingine imepata ajali mbaya na hakuna abiria aliyepona wote wameungua moto. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria wafuatao!!! Umasikini Msongamano wa mawazo (stress) Magonjwa Huzuni Mikosi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwame Nkrumah came out from prison and became president. Nelson Mandela from prison to president.Obasanjo from prison to president.Theodore Orji from prison to governor.Omisore Iyiola from...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dah...hizi kazi hizi,sometimes tunajua time ya kuingia ila kutoka ndio kama hivi tena....hapa hamna mtandao basi hakuna kuondoka hata ikiwezekana kulala humuhumu.... na kila siku tunasisitizwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari zenu, Naomba msaada kidogo kwa yeyote atakaye kuwa na idea.. Natafuta nyumba ya kupanga, kodi si zaidi ya laki 4, maeneo ya mwenge, kijitonyama, makumbusho, victoria or mikocheni...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
kuna siki moja jamaa yangu James alikwenda bar ya jirani na kwao maeneo tangi bovu. wakati akiendelea kugonga ka beer kake barriiidi, aliingia jamaa mwingine akaketi meza ya jirani yake na...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Do you know WHAT IS STRESS? Ok let me tell you what is Stress- You give a lift to a beautiful girl, she faints inside your car and you take her to the hospital. Now that's stressful...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Bwanaweee ntombeleo. Ebwanaee kunja nguozo ntombeleo. Huyo ni mama wa kipemba alisikika akimwambia mumewe akunje nguo mbele kuna mto asije kuroa.
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Binti alimuaga mama yake, "naenda matembezi na marafiki zangu." Mama yake akamwambia "MUNGU AWENAWE katika SAFARI YAKO". Kwa dharau na kiburi binti akajibu "mh mama gari imejaa labda huyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…