Nawatafuta wafuatao kwa ajili ya msaada Amu.....................

Nawatafuta wafuatao kwa ajili ya msaada Amu.....................

Sweet potato

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
60
Reaction score
24
:wave: Habari wana CC. Nawatafuta amu, heaven on Eath, na wadada woote ka ajili ya msaada
 
Vipi unataka mamets? Ama Mc wa kitchenparty? Haya tumekuja!!
 
Shosti angu kaniuliza swali nimeshindwa kumjibu so nimeona nililete jamvini wanadada mnisaidie. Eti matege kwa mdada yana faida gani? mchumba wake kampa homework, yani anadai anafurah kuwa na mtu mwenye matege coz wavulana wanaojua faida yake wanatamani sana kupata wadada wenye matege.
 
Back
Top Bottom