Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Habari wadau, leo tarehe 24 Feb, ni B'day yangu, natimiza miaka kadhaa toka nije Duniani, shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Wazazi wangu walionilea mpaka kufika hapa, pia shukrani kwa ndugu,jamaa na marafiki, Ahsanteni sana...kwa wale waliopo Mwanza wanaweza kuhudhuria kasherehe hapo TJ pub, kuanzia mishale ya saa Mbili usiku...