ngoshombasa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 435
- 236
Wanajamvi, kuna ndoto moja huwaga inanisumbua kuiota mara kwa mara yaani atleast mara moja kwa kila mwaka. Huwa inatoke mazingira ambayo ninakoswakoswa kupigwa na radi dizaini nakwepa na inapiga pembeni. Baada ya hapo naamka roho inadunda vibaya. Na inanitokea naiota nikiwa sehemu mbalimbali ikiwa hata nje ya nchi. Naomba anayeweza maana nimejaribu kuiwaza hata sielewi. naombeni msaada wajameni kwa atakayeweza. nina miaka 39 (me).