Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Dear,
Brothers & Sisters
Kwa muda mchache huu mniazime maskio yenu , kwa uchache nitoe haka "ka'shamba darasa".
Si kila umuonae kakufika umkopeshe any wealthy iwe Fedha , Bidhaa , na vifananavyo na hivyo , ukadhani kapinda yuko Bankrupt!
Nasema HAPANA! Kumdhania mtu hivyo haraka- haraka ni fikra finyu .
Wengine huja kuomba mikopo kwa dhamira ya kujiridhisha tu !
Kwamba incase wakiomba kukopa WANAAMINIKA ?
Always binadamu yeyote hujisikia furaha pindipo akijielewa anaaminika .
Je? My fellow dear mdau unae peruzi Uzi huu umeshawahi jipima kama unaaminika ?
Unakopesheka ?
Jioni njema .