Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
[h=5]
[/h]HEBU fanya hivi wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni200 baada ya majambazi kukimbizwa na polisi na kuzidondosha.ukakimbilia kijijini kwenu na kuwapa wazazi wako milioni5 tu.zingine ukatafuta sehemu ili uzifiche.kwa bahati ukaona mti mkubwa na kuzifukia chini,ili usisahau ukaamua kupiga picha mti,ukaenda mjini kusafisha picha,ulipo isafisha ile picha unaona juu ya mti kuna mtu anatabasamu....UTAFANYAJE?? Usicheke NIPE JIBU