JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtaalam wa kughushi vyeti ambaye pia ni mwana JF alikuwa kakaa bila kazi kwa miaka miwili. Baada ya kupigika sana kwa kukosa kazi na hela huku akijua fika kuwa hana elimu ya uhakika, akaamua...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Ikiwa mpenzi wako anakuzingua mwambie asikubabaishe bora pengo kuliko kubaki na jino bovu!
2 Reactions
7 Replies
3K Views
nasikia wapemba hataki mawakili katika kesi yoyte,sikia mpemba anavyomlalamikia wakili. jitu limekwiba mchana kweupe,ali kaona,hasan kaona sasa linakuja jitu jengine linasimama linasema hakweba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MALLATA alipeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi! FUNDI:lipakwe rangi gani? MALLATA:yeyote isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, njano, kijani wardi, nyeus, chocketi, kijivujivu, maziwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Waheshimiwa niko maeneo ya Mwenge Petrol Station (PUMA) Imegonga Ngurumo moja mpaka ninavyoandika hapa saa hii bado ubongo haujakaa sawa....Nimezaliwa Dar, Nimekulia Dar, Nafanya kazi Dar sijawahi...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
no english no service here... okey lets talk...tehe tehe...today is today...we shall see!
20 Reactions
1K Replies
67K Views
Wanandugu mambo zenu?ni hivi baada ya kula kipigo na polisi na kupozwa na yule mama,soma hapa https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/107281-yaliyonikuta-leo.html Ikanibidi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Uko safarini kuelekea ukweni kupeleka mahali, wakati unashuka kwenye gari ghafla unakwapuliwa mzigo wenye pesa na vitu vya msingi, unajaribu kumkimbiza lakini anakuacha unaamua kwenda mikono...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa namna ya pekee nawatakia wanaCC na wanaJAMVI wote mfungo mwema wa kwaresma. Tukumbuke sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi, tumrudie Mungu kwa kufanya ibada na toba ya kweli. Tusisahau kwenda...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
. Fikiria ume elewa nn?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
DEMU:Mambo? NJEMBA:Mambo DEMU:Nafurahi kusikia sauti yako NJEMBA:nafurahi kusikia sauti yangu DEMU:Hivi we unaitwa nani vile? NJEMBA:Mimi siitwi.. DEMU:Mh majibu gani hayo kaka? NJEMBA:Majibu...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
A group of students were asked to list what they thought were the present "Seven Wonders of the World." Though there were some disagreements, the following received the most votes: 1. Egypt's...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ilivyokishwa kutangazwa , Kuna ndoa inafungwa on the coming week end.. Sasa katika pita pita zangu nikamwona jamaa yangu Arushaone akifanya Riheso, jina la hotel (withheld).. Harusi...
4 Reactions
159 Replies
9K Views
Jamaa wamekaa jumba bovu wanapuliza bangi,wakaishiwa kiberiti, si wakamtuma mwenzao akaombepopote, jamaa akazunguuka akatokea palepale akawaambia masela naombeni kiberiti na kwa sababu jamaa nao...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
itakuwa vp endapo ndoa ya jinsia moja itapitishwa tanzania na waheshimiwa jaman
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mfano ;- wewe umempenda demu ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Jamani mbali na majina common ya kabila hili yaani yanayoanzia na 'MW..' kuna mengine mfano Ambakisye,Ambele, Undule,Atupele n.k. Je yana maana na matumizi gani? Maana yale ya MW mara nyingi ni...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Nilibaki nashangaa baada ya kukutana na aina hii ya biashara. Link ipo chini: TheMonthlyJob.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom