Elfu 10 sikuoni huku uswahilini

Elfu 10 sikuoni huku uswahilini

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
JERO anamuuliz Elfu kumi;ulikuwa wapi ndugu yangu mbona huonekani?
ELFU KUMI; Daah! Ndugu yangu mambo mengi, nazunguka sana kwenye ma-wallet na ma-ATM,mara nimeingia bar,mara casino,juzi nilikuwa Airport nikakaa sana pale kisha nikaenda Mlimani city nkatoka nkaenda Holiday Inn, Kisha nikachukuliwa nikapelekwa masaki. Wewe vp, pande zipi?
JERO; Oooh, mwenzio kila cku kwa mama ntilie, nikibadilisha kiwanja kilabuni, stoo ya mkaa mwenzio sina usafiri wa wallet huku ni mifundo ya kanga na vibubu. Si unaona nilivyozeeka, yaani utadhani mi ndo mkubwa kumbe wewe ndio mkubwa mh!
 
Vijana wa cc naona now dayz mnachuana kwa ubunifu !
Ok congra zako.
 
Huwa siweki jero kwa wallet, mfuko wa shati tu tosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom