Komoa nikukomoe

Komoa nikukomoe

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
cku moja mzung alikuwa anatembea na sokwe wake mara wakapitaa kitaa fulani yule sokwe akachukua ndizi gengeni yule mwenye genge akawa anataka alipwe yule mzungu akasema kwa dhalau 'huyu si ndugu yako sasa mimi nikulipe nini' jamaa ikabidi akaushe yule mzungu akaingia kwenye ofisi moja palepale akamuacha yule sokwe wake nje jamaa kwa hasira akamchukua yule sokwe akamuua mzungu alivyotoka ofisini akamkuta sokwe wke amekufa akamwambia yule jamaa kwann umemuua sokwe wangu jamaa nae akamjibu kwa dhalau 'hayakuusu iyo ni kesi ya kifamilia sisi ndugu we hupaswi kujua'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom