Mkuu wa shule kilaza

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
461
392
[h=5]
[/h]mwalimu alikuwa anafanya revision ya histori na wanafunz wake wa darasa la tatu,akauliza"nani aliyemuua chifu mkwawa?"mwanafunzi 1 akajibu"mi sijui"wa 2 akajibu"ckuwepo kabisa"na w 3 akajibu"hakyamungu mi sihusiki mwalimu"mwalimu akaenda kushitaki kwa mkuu wa shule kuwa wanafunzi wake vilaza ndipo mkuu akawafuata kwa hasira na bakora mkononi alipofka akawaulza swali lilelile na majibu yakawa yaleýale,kuona vile mkuu akamwita mwalimu pembeni na kumuuliza"HIVI UNA UHAKIKA MUUAJI YUMO HUMU DARASANI?!kumbe mkuu ndo alikuwa kilaza wa vilaza!!
 
Back
Top Bottom