Tujikumbushe ndoto za kikojozi

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Huwa nikikumbuka zile ndoto za utotoni kabla ya kukojoa kitandani nacheka na kuushangaa ukuu wa Mungu.

Mara unaota unacheza mpira, halafu unabanwa na mkojo, unaenda pembeni unakojoa mara hamadi unashituka umeshalowa.

Au wenzangu mlikuwa hamuoti?
 
ya upo sawa kabisa coz siku niliyokojoa kitandani, niliota nacheza mpira, wakati mpira umepigwa na umeenda mbali, nikaenda pembeni kukojoa, hafla wakapita wanawake nikaubana. Kumbe nilikuwa nakojoa kitanda na kama siyo hao wanawake waliyopita, ningeumalizia.
 
Hivi ni kwa nini mpaka uote ndoto? kwa nini ulikuwa hautoki tu?
 
Kuna ile ya kuota unaogelea, basi unasema ngoja nikojoe humu humu, ukishituka.................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom