vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,825
- 1,307
Wale madadiii na mashostito wenzangu wapenda ijumaa.
Leo Tunaanzia St. Peters njia ya msalaba, baada ya hapo woote ndani ya chawote pub kupata Juice za kutosha na makange.
Tunawatakia wengine kwaresma Njema, halafu Excel mambo yako ya kuagiza Balantines kipindi cha Kwaresma uache. kama hutoweza kunywa juice please dont join us.
Nawapenda wote Jamani Mungu awalinde na kuwajaza baraka katika kipindi hiki cha kujiandaa kumpokea Kristu mfufuka.
mimi49 nipigie please!!!

Last edited by a moderator: