ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Najua wote mko wazima na mnaendelea na shughuli/masomo/mapumziko ya weekend
na wengine kwa sasa mko hoi mnaumwa vitandanni nawaombe kwa Mungu mpone
mje kuiendeleza jf kupata furaha, upendo na amani pia.
Wandugu wapendwa wangu, leo tena nimeona si busara kukaa na kitu moyoni imenibidi
nitoe dukuduku langu la kila siku ambalo limenifanya hata hapa nilippo nishangae na
pengine kuduwaa kabisa, ninachotaka kusema hapa ni ile hali ya mtu mwenye akili
zake timamu kufanya mambo yasiyofaa kwa jamii, isitoshe ukimwangalia utasema huyu
hawezi fanya mambo haya kwanini amediriki kufanya mambo yasiyofaa na jamii inabaki
ikimshangaa kulikoini jamani nini kimemsibu? Jamii inashindwa kumtambua kutokana
na vile alivyo. Wewe mtu mzima na akili zako unaanza kujisaidia ovyo barabarani.
kwanini jamani? unawafundisha nini watoto wanaokuangalia unachokifanya hapo?
Mara nyingi hii tabia wanayo WANAUME ambao hulka yao ni kujiachia ovyo popote
pale hawafikirii kabisa wanachokifanya hakipendezi kwa jamii. Hivi unafikiri uchafu
wako huo nani anapenda kuuona ovyo? BADILIKENI mnachafua mazingira. Kwani
mtu akikukuta hapo umetoa naniiii........ nje atafikirije atajua kuwa ndo ukichaa
umeanza kwako kwani unafikiri ukichaa unaanzaje? hivyo hivyo unavyoona.
Jamani tubadilike marafiki
nawatakia kila la kheri na furaha, upendo na utulivu kwa weekend hii