Kweli Ulevi Noma:- Je unakumbuka ni noma gani ulilolifanya baada ya ku over drink? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Ulevi Noma:- Je unakumbuka ni noma gani ulilolifanya baada ya ku over drink?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, May 29, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  Mi nlitembea kwa miguu kutoka kwenye Party Masaki hadi home Sinza, sikukumbuka kuwa Masaki nlienda na gari na niliiacha huko.
  Kesho yake asubuhi jamaa wakanipigia nikacgukue gari
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  we nakushauri uache pombe kabisa, huziwezi na hazikufai
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Pombe za bure hizo ndo madhara yake hayo
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  C uache pombe,kwani umelazimishwa? Ama una hisa na kiwanda cha pombe. Kaa kama mimi ambaye nakunywa maziwa tu.
   
 5. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pombe sio mbaya, ila unywe kwa kipimo. Kama inakufanya uonekane kituko, yani umeshindwa kuikontroo, acha!
  Pia kama za kizungu zinakusumbua jaribu kunywa za kienyeji. Sio mbaya hivyo, ni wazungu walitutia kasumba tukadharau vya kwetu.
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  umeongea jambo la maana sana kweli wewe ni great thinker
   
 7. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Zilikuja verse za ajabu, nikamtongoza demu mmoja wa kibongo kwa kutumia kiingereza hakujibu kitu, kesho yake akaleta game!
   
 8. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  sifa za kijinga na angekubali ungeunganishwa kwenye gridi
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,928
  Likes Received: 83,494
  Trophy Points: 280
  Hahahahahah lol! Kumbe inawezekana kutembea toka Masaki hadi Sinza ali mradi tu uwe na chache kichwani zinakupa motisha kutumia TZ 11. Pole Mkuu! siku nyingine ujue kipimo chako ili usisahau tena gari yetu, ushukuru Mungu uliisahau Masaki sehemu nyingine vijana wangechakarika nayo ili kujipatia vijisenti
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Endelea kunywa pombe zinakusaidia, maana angekuwa mjinha mwingine angeliendesha hilo gari na ulevi wake
  Don't drink and drive!!
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  hujawahi vunjiwa yai wewe
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  ndani ya geti la watu????? Inawezekanaje???
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  pombe ni noma. Ndio maana chungu
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naona hii post hainihusu aisee!
   
 15. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,869
  Trophy Points: 280
  Mi after kuzimika nikawa najiona ka Tyson, nikamchokoza dada mmoja hivi street, alinipa za uso sitakuja sahau, afu sikuwa na uwezo wa kukwepa wala nn, nilimwaga chilsosi ya kufa mtu, uso ulivimba balaa na nilikaa ndani wiki 2 bila kutoka., baada ya hapo ilibidi nihame mtaa kwa aibu.! Pombe mbaya
   
 16. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bora ako? Kuna jamaa alikua kalewa namcheck,akamfata mdada kasimama akampiga tuvibao kwenye makalio afu akauliza ''Hii siti ina mtu?" kilichotokea NATO wana habhari yake...
   
 17. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  hahaha hii kali mkuu
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi jana nilikuwa nakula vitu Ubungo leo asubuhi nimeshtukia nipo Mlandizi dah sijui nimefikaje
   
 19. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Fidel yako kali sa ulifikafikaje??
   
 20. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Jirani yangu nae juzi kalewa chaka akarudi na kimada wake usiku akaingia nae kwa mke wake afu anamwambia "we malaya unaetutolea macho kama bundi hebu tupe chumba upesi..." ndo wanamaliza kugawana vitu,talaka tayali. Pombe...
   
Loading...